• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Mwanamke mwenye Ulemavu wa Miguu akabidhiwa Mkopo wa Bajaji ya Abiria Misungwi

Imewekwa : February 14th, 2021

Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Mkoani Mwanza, yakabidhi Bajaji ya abiria yenye thamani ya Milioni 7. 8 kwa Mwanamke mwenye ulemavu wa miguu Mkazi wa Kijiji cha Nyangh’omango Kata ya Usagara.

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Mhe, Juma Sweda amekabidhi Bajaji ya abiria kwa Yunis Joshua mwanamke mwenye ulemavu ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyangh’omango Kata ya Usagara Wilayani Misungwi na kuitaka jamii kuendelea kuwajali na kuwasaidia watu wenye ulemavu ili waweze kujikwamua na kujikomboa na maisha na kukuza uchumi binafsi na familia zao.

Amesema Serikali inathamini uwepo wa watu wenye ulemavu na tayari Halmashauri imetiza wajibu wake kwa kutoa mkopo na ameitaka jamii na Wananchi kwa ujumla kuwaibua watu wenye ulemavu walioko majumbani

Amemtaka mama huyo mwenye ulemavu kuendelea kupambana na maisha kwa kutumia chombo alichopewa kujikwamua kimaisha na kumsaidia sana hatimaye  kuondoa kudharaulika kwa jamii.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Bajaji mama huyo mwenye ulemavu Bi. Yunis Joshua ameishukuru Serikali ya awamu ya tano kwa namna inavyowajali na kuweza kuwapatia mikopo kutokana na jamii kutowatambua na kwamba wao ni wakusaidiwa na kubebwa mara kwa mara  tu na hawawezi kufanya lolote.

Amesema Serikali imewatambua na kuwathamini watu wenye ulemavu na kuahidi kwamba chombo hicho ataenda kukitumia kikamilifu katika kuzalisha mali na kujikwamua kimaisha na kiuchumi na kujikomboa katika maendeleo na kuwa katika hali nzuri.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi. Kisena Mabuba amesema kwamba Halmashauri imeamua kumpatia mkopo huo kutokana na watu wengine wenye ulemavu kutopatikana ambapo mkopo huo unatokana na asilimia 2% za watu wenye ulemavu, na mkopo huo umetolewa kwake binafsi tofauti na utaratibu wa kawaida wa kujiunga kwenye kikundi.

Ameeleza kuwa Halmashauri ina imani kwamba mama huyo atafanya biashara ya usafiri wa bajaji na atapata kipato  na ataweza kurejesha mkopo huo kwa wakati ili watu wengine pia waweze kukopa na kunufaika.

Halmashauri hiyo hadi mwezi Disemba mwaka wa fedha 2020/2021 imetoa mikopo yenye thamani ya milioni 30,055,000/= kwa vikundi vinne vya watu wenye ulemavu vya Walemavu Misasi Tujijali, mkopo wa Milioni  8,000,000/= Fursa Tunaweza milioni 6,210,000 na Kikundi cha Walemavu cha Imani Chawata mkopo wa Milioni 8,000,000/= pamoja na mkopo wa milioni 7.

    

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Juma Sweda akimkabidhi Bajaji na kumpongeza Bi,Yunis Joshua mtu mwenye ulemavu aliyopewa kama Mkopo na Halmashauri kwa ajili ya kujikwamua katika maisha


Bi. Yunis Joshua Mwanamke mwenye Ulemavu wa Miguu akiwa katika chombo cha Usafiriaina ya Bajaji chenye thamani ya Milioni 7.8 mara baada ya kukabidhiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi ikiwa ni Mkopo kwa Watu wenye Ulemavu wa asilimia 2% ya mapato ya ndani ya Halmashauri. 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA DARASA LA IV-2020 January 15, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 17 JAN,2021 January 17, 2021
  • TANGANZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 22 JAN,2021 January 22, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 28 JAN,2021 January 28, 2021
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • Naibu Waziri wa Afya ashangazwa na kupongeza Wanawake kujenga Nyumba bora Misungwi

    March 06, 2021
  • Baraza la Madiwani lapitisha rasimu ya Bajeti ya shilingi Bilioni 44.3 mwaka 2021/2022 Misungwi.

    February 17, 2021
  • Mwanamke mwenye Ulemavu wa Miguu akabidhiwa Mkopo wa Bajaji ya Abiria Misungwi

    February 14, 2021
  • Waziri Jafo awasifu Viongozi Misungwi, kwa usimamizi mzuri ujenzi wa Hospitali Wilaya

    January 05, 2021
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2020 Misungwi District Council . All rights reserved.