• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Misungwi District Council
Misungwi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Wilaya ya Misungwi yateketeza Dhana za Uvuvi Haramu zenye thamani ya shillingi Millioni 127.

Posted on: April 5th, 2017



 Mkuu wa Wilaya ya Misungwi,Juma Sweda ameteketeza Dhana za Uvuvi haramu zenye thamani ya shillingi 127,245,000/=zilizokamatwa zikiwa zinatumika katika Shughuli za Uvuvi wa Samaki katka Ziwa Victoria kwa kipindi cha mwezi Machi 2017.

Dhana hizo za uvuvi haramu zimeteketezwa hivi karibuni Wilayani hapa,baada ya Idara ya Mifugo na Uvuvi kufanya Operationi maalum ya kukamata na kuwataka Wavuvi kusalimisha kwa hiari dhana haramu kwa lengo la kutokomeza uvuvi haramu Wilayani hapa.

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi,amewataka Viongozi,Wataalamu na Watendaji wote wa ngazi ya Tarafa, Kata na Vijiji waliopo katika maeneo ya kandokando ya Ziwa Viictoria kuhakikisha Wanatokomeza na kuondoa Uvuvi haramu katika maeneo yao ya Kiutawala kwa kusimamia kikamilifu sheria za uvuvi na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa matumizi ya dhana bora na sahihi za uvuvi na utunzaji wa mazingira ya Ziwa ili kulinda Raslimali ya Uvuvi kwa lengo la kuongeza uchumi na kipato kwa Wananchi.

Amewaagiza Watendaji wa Kata na Vijiji husika kuhakikisha dhana haramu hazipatikani katika maeneo yao ya Kiutawala sambamba na na kudhibiti Samaki wachanga wanaovuliwa na kuuzwa katika Masoko na mialo kwenye maeneo yao.

Sweda, ameitaka Idara ya Mifugo na Uvuvi kuhakikisha wahusika watakaopatikana na dhana haramu pamoja na Samaki wachanga wachukuliwe hatua na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.



Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Ajira ya Watendaji wa Vijiji 60 March 27, 2018
  • Taarifa ya Mkutano wa Baraza la Madiwani tarehe 16 Novemba, 2017 November 12, 2017
  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili October 28, 2017
  • Tangazo la Ajira October 02, 2017
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • Halmashauri yatarajia kukusanya Mapato zaidi ya shilingi Millioni 600 za Ushuru wa Pamba mwaka 2018

    April 21, 2018
  • Walengwa wa Mpango wa Tasaf wa Vijiji Vinne wapatiwa Mafunzo ya Uundaji wa Vikundi vya kuweka Akiba na Kukopa katika Halmashauri ya Misungwi.

    April 11, 2018
  • Maafisa Tarafa na Maafisa Ugani wapewa Pikipiki Nane zenye thamani ya Shillingi Millioni 21,560,000/=

    March 07, 2018
  • Waziri Mkuu awataka Watendaji wa Serikali kufuatilia Miradi Vijijini

    February 19, 2018
  • Angalia yote

Video

Mkurugenzi Mtendaji Misungwi aagiza aliyetumbuliwa kwa vyeti feki akamatwe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Taarifa
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko
  • Maeneo ya Uwekezaji
  • Huduma Sekta ya Afya

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20

    Simu ya Mezani: 255 732980745

    Simu ya Mkononi: 0763686106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi . Haki zote zimehifadhiwa