• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

Ugavi na Manunuzi

  • Kitengo hiki kina lengo la kuleta ufanisi na kutoa huduma kwenye nyanja za manunuzi, utunzaji na usambazaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zinazohitajika kwa ajili ya Wilaya. Kitengo hiki kinaongozwa na Afisa Ugavi Mkuu ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya.

Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

  • Kushauri uongozi juu ya masuala yanayohusiana na manunuzi ya bidhaa na huduma na mchakato mzima wa kusimamia na kudhibiti mwenendo wa bidhaa na huduma katika Wilaya.
  • Kuhakikisha kwamba Wilaya inafuata/kutii taratibu za manunuzi kulingana na sheria ya Manunuzi ya Umma
  • Kuandaa na kufanikisha utekelezaji wa Mpango wa Mwaka wa Manunuzi kwa ajili ya Wilaya
  • Kununua, kuhifadhi na kusimamia usambazaji, vifaa na huduma mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya bidhaa na huduma hizo kwenye Wilaya.
  • Kuhakikisha kunakuwepo na utunzaji, uhifadhi sahihi na usambazaji wa mahitaji ya ofisi wa kutosheleza na kwa wakati
  • Kutunza na Kuboresha kumbukumbu ya vifaa na rasilimali za serikali/za ofisi
  • Kushughulikia uratibu wa kikao cha bodi ya manunuzi ya Wilaya  kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013
  • Kuteketeza vifaa/vitu ambavyo havihitajiki
    • Kitengo hiki kina lengo la kuleta ufanisi na kutoa huduma kwenye nyanja za manunuzi, utunzaji na usambazaji wa bidhaa na huduma mbalimbali zinazohitajika kwa ajili ya Wilaya. Kitengo hiki kinaongozwa na Afisa Ugavi Mkuu ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya.
  • Majukumu ya Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi

    1. Kushauri uongozi juu ya masuala yanayohusiana na manunuzi ya bidhaa na huduma na mchakato mzima wa kusimamia na kudhibiti mwenendo wa bidhaa na huduma katika Wilaya.
    2. Kuhakikisha kwamba Wilaya inafuata/kutii taratibu za manunuzi kulingana na sheria ya Manunuzi ya Umma
    3. Kuandaa na kufanikisha utekelezaji wa Mpango wa Mwaka wa Manunuzi kwa ajili ya Wilaya
    4. Kununua, kuhifadhi na kusimamia usambazaji, vifaa na huduma mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya bidhaa na huduma hizo kwenye Wilaya.
    5. Kuhakikisha kunakuwepo na utunzaji, uhifadhi sahihi na usambazaji wa mahitaji ya ofisi wa kutosheleza na kwa wakati
    6. Kutunza na Kuboresha kumbukumbu ya vifaa na rasilimali za serikali/za ofisi
    7. Kushughulikia uratibu wa kikao cha bodi ya manunuzi ya Wilaya  kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013
  • Kuteketeza vifaa/vitu ambavyo havihitajiki

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA DARASA LA IV-2020 January 15, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 17 JAN,2021 January 17, 2021
  • TANGANZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 22 JAN,2021 January 22, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA AJIRA 28 JAN,2021 January 28, 2021
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani lapitisha rasimu ya Bajeti ya shilingi Bilioni 44.3 mwaka 2021/2022 Misungwi.

    February 17, 2021
  • Mwanamke mwenye Ulemavu wa Miguu akabidhiwa Mkopo wa Bajaji ya Abiria Misungwi

    February 14, 2021
  • Waziri Jafo awasifu Viongozi Misungwi, kwa usimamizi mzuri ujenzi wa Hospitali Wilaya

    January 05, 2021
  • Waziri Kalemani aagiza Tannesco kuweka Transfoma Mgodi wa Busolwa na maeneo ya Usagara Misungwi

    December 31, 2020
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2020 Misungwi District Council . All rights reserved.