• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Maeneo ya Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Kilimo
    • Maeneo ya Madini
    • Maeneo ya Uwekezaji wa Mazingira
  • Huduma Zetu
    • Huduma Sekta ya Afya
    • Huduma Sekta ya Elimu
    • Huduma Sekta ya Maji
    • Huduma Sekta ya Mazingira
    • Huduma Sekta ya Maendeleo ya Jamii
    • Huduma Sekta ya Ardhi na Maliasili
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Huduma za Uchumi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Huduma za Kijamii
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba Vikao vya Halmashauri
  • Miradi mbalimbali
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Mbalimbali
    • Taratibu
    • Gazeti la Serikali
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Video Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Habari Mpya

DC Misungwi awataka Maafisa ugani na wadau wa kilimo cha pamba kuelimisha Wakulima kutumia mbegu Bora

Imewekwa : September 24th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Mhe. Johari Samizi, awataka Maafisa Ugani na wadau wa kilimo kuhamasisha matumizi ya mbegu bora ya zao la Pamba ili kuboresha uzalishaji wa zao la pamba nchini Wilayani Misungwi, Mkoani Mwanza

Akizungumza katika mafunzo yaliyofanyika tarehe 23 Septemba, 2024 katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Ukiriguru yanayofadhiliwa na Mradi wa Cotton Victoria  ameeleza kwamba Mafunzo hayo yatawasaidia Maafisa ugani kutoa elimu kwa  Wakulima kwa kina kuhusu mbinu bora za kilimo cha pamba, ikiwa ni pamoja na matumizi sahihi ya mbegu bora, mbolea, na udhibiti wa magonjwa na wadudu hivyo ni muhimu kutumia teknolojia na utafiti wa kisasa ili kuongeza uzalishaji na ubora wa pamba, ambayo ni zao muhimu kwa uchumi wa eneo la Misungwi na Mkoa wa Mwanza kwa ujumla.

Mhe. Samizi amewataka Maafisa Ugani, pamoja na Wadau wa kilimo  wanaopata fursa ya kujifunza na kushiriki maonyesho ya vitendo vya kilimo wapate namna ya jinsi ya kutekeleza mbinu hizo katika mashamba yao na Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kati ya Wakulima, taasisi za kilimo, na Wadau mbalimbali ili kuhakikisha Wakulima wanapata maarifa na rasilimali zinazohitajika kwa ajili ya kilimo chenye tija ili kuhakikisha mafanikio ya mradi wa Cotton Victoria project yanawanufaisha Wananchi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Ukiruguru, Dkt. Paul Saidia  akitoa ufafanuzi kuhusu mafunzo ya Mbegu bora za zao la pamba yenye lengo la kuboresha uzalishaji wa pamba na kuongeza kipato cha wakulima tangu mwaka 2017na kubainisha kuwa Mafunzo haya yanahusisha Maafisa Ugani na wadau wa kilimo cha  pamba kutoka maeneo mbalimbali, ambapo watajifunza mbinu bora za kilimo, usimamizi wa mazao, na matumizi sahihi ya mbegu bora zinazotolewa na mradi huo unaotarajiwa kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya kilimo na kusaidia katika maendeleo ya jamii na kusaidia wakulima kuongeza mavuno yao na kuboresha ubora wa pamba wanayozalisha na umuhimu wa kutumia mbegu bora ambazo zimepatiwa utafiti wa kisayansi ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na magonjwa yanayoathiri zao hili.

Naye Mratibu wa Mradi wa Cotton Victoria kutoka Chuo Kikuu cha Lavras (UFLA), Prof. Pedro amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Misungwi kwa kushiriki katika mafunzo ya namna bora ya kutumia mbegu za pamba, na kusisitiza umuhimu wa elimu kwa Wakulima katika kilimo cha pamba, na kwamba yatawasaidia Wakulima kuongeza uzalishaji na kuboresha ubora wa mazao yao na kuomba ushirikiano kati ya Serikali na taasis katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya kilimo katika maeneo hayo








Matangazo

  • SHULE ZILIZOVUNJA REKODI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2024 February 01, 2025
  • TANGAZO ZABUNI UPANGISHAJI VIBANDA VYA HALMASHAURI MWAKA 2023/2024 June 28, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 20, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI NA MADIWANI KATIKA KATA SITA ZA TANZANIA August 10, 2023
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • DAS Misungwi awapongeza Watendaji Halmashauri kwa kushirikiana na Madiwani katika kuongeza ufanisi na ukusanyaji wa Mapato.

    April 29, 2025
  • Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi yafanya ziara ya yatembelea na kupata mafunzo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya nyang'hwale Mkoani Geita

    April 25, 2025
  • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango yaridhishwa na miradi ya maendeleo ya Halmashauri Wilaya ya Misungwi

    April 23, 2025
  • Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi yawataka Watendaji wa Kata na Vijiji kutoa Elimu ya Shughuli za Lishe kwa Wananchi.

    February 27, 2025
  • Angalia yote

Video

Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa pamoja na Halmashauri
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Takwimu za wanafunzi kitaifa
  • Taarifa
  • Kujisajili chama cha Mapinduzi-ccm
  • MFUMO WA UJAZAJI MATAMKO KWA NJIA YA MTANDAO
  • KUPATA KIUNGANISHI CHA MFUMO WA TAARIFA ZA SHULE-SIS
  • Historia ya Halmashauri
  • Sheria Mbalimbali
  • Wasiliana Nasi
  • Malalamiko

Viunganishi Linganishi

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Tamisemi
  • Mwanza Region
  • Wakala wa Serikali Mtandao (Ega)

Ramani ya Wasomaji

world map hits counter

Wasomaji

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Misungwi

    Sanduku la Posta: P.O Box 20 MISUNGWI

    Simu ya Mezani: +255282983268

    Simu ya Mkononi: 0717259106

    Barua Pepe: ded@misungwidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2021 Misungwi District Council . All rights reserved.